Ukweli ni kwamba Simba uwezo wao ni robo fainali!
Umemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??

Twenzetu kwa Mkapa tukaendee kuziishi ndoto zetu ambazo Simba wanazifanya kuwa kweli, twende kwa Mkapa tukaone tamu na chungu.
Kocha wa makipa wa timu ya soka ya….Stori zaidi.