Etienne kukabidhiwa Stars, Azam wagutuka.
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Kutakuwa na makundi 10, kundi letu litakuwa na timu nne, tutacheza mechi 6, tatu ugenini na tatu nyumbani. Mechi hizi zinahitaji mbinu za uwanjani na hata nje ya uwanja. Waokota mipira ni sehemu ya mashambulizi na ulinzi wa Stars.
Mpira wa Afrika una mambo mengi, hivi ndivyo walivyotaka Taifa Stars ibanane ndani ya basi hili.
Tanzania itacheza leo dhidi ya Burundi na kauli mbiu hii kama imeshapuuziwa na Burundi, basi ilete maana sasa ndani ya uwanja zaidi.
Kwa upande wa Taifa Stars, wao wapo tayari nnje na ndani ya uwanja pia. Tayari kabisa kwa mchezo wa leo.
Tanzania, Taifa Stars, itaanza kampeni yake ya kutafuta Tiketi ya kombe la dunia 2022 dhidi ya Burundi, pitia kuwafahamu wachezaji hatari