Tetesi zote za usajili barani Ulaya hizi hapa.
“ Hatuko tayari kumuachia Solanke hata kwa mkopo, na kama atataka kwenda na aende lakini ajue kuwa hatocheza atakaa kwenye benchi tu
“ Hatuko tayari kumuachia Solanke hata kwa mkopo, na kama atataka kwenda na aende lakini ajue kuwa hatocheza atakaa kwenye benchi tu
Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.