Meneja: Hakuna aliefika bei kwa Mwamunyeto.
Kama mchezaji mzawa yupo vizuri apewe haki yake tusifanye biashara kwa kujuana. Mpira hauna siri uwezo wa Bakari unaonekana uwanjani.
Kama mchezaji mzawa yupo vizuri apewe haki yake tusifanye biashara kwa kujuana. Mpira hauna siri uwezo wa Bakari unaonekana uwanjani.
Inaelezwa thamani ya mlinzi huyo wa Stars ni milioni 70 mpaka 100, huku pia klabu inayomtaka ikitakiwa kumalizana na Coastal Union.
Uongozi wa timu ya Coastal Union umesema kwamba….Stori zaidi.
Beki kisiki wa klabu ya Coastal Union….Stori zaidi.
michezo mingi bila nyavu zake kutikiswa na hivyo kua na mchango mkubwa katika kuifikisha Coastal katika tano bora ya VPL.