Afcon!? Twenzetu Tena na Hawahawa Tulionao!
Ndio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
Ndio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
Good Signing for Young Africans within this three years! Umri mdogo na kipaji kikubwa
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikamilika bila timu yoyote kupata goli na ikamlazimu kocha wa Yanga sc kufanya mabadiliko mwanzoni tu mwa kipindi cha pili
Usinga wa Yanga umerejea kwenye mkono wake wa kushoto, Namba tano imerejea kuwa eneo lake, uwanjani ni Ofisi yake na ‘First Eleven’ ya Yanga ni wafanyakazi wenzake na yeye akiwa Kingozi wao
Kila shabiki haamini katika wazawa, sasa nani atawaamini? (Inafikirisha).
Imagine hali hii ingekuwa mtaani kote na kumhusu kila mmoja nani angepona.
Ame maarufu kama Varane anasifika kwa umbo lake kubwa lililojengeka, utulivu na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu. Katika Msimu huu uliomalizika yeye na Mwamunyeto wa walikua na pacha nzuri na kupelekea Coastal Union kutoka na “cleansheet” 13.
Dau la milioni 250 limemtoa Bakari Nyundo Mwamunyeto….Stori zaidi.
Jana Yanga imekamirisha usajili ambao ulikuwa unasubiriwa kwa….Stori zaidi.
ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kuvunja mkataba wa mwaka mmoja uliobaki wa Mwaminyeto huku kiasi cha fedha atakachopokea Mwamunyeto mwenyewe kikibaki kua ni siri.