Samatta: Ilikua ni ndoto!
Mbwana Samatta pia alidokeza alikua akimfwatilia Gabriel Agbolanhor alipokua akiitumikia klabu hiyo iliyopo jiji la Birmingham.
Mbwana Samatta pia alidokeza alikua akimfwatilia Gabriel Agbolanhor alipokua akiitumikia klabu hiyo iliyopo jiji la Birmingham.
Samata mchezaji wa zamani wa African Lyon, Simba sc na TP Mazembe anakua Mtanzania wakwanza kucheza katika Ligii Kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL.
Samatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia mabao 23 klabu hiyo ambayo ilitwaa kombe la ligi yao.