Ushindi wa 4-0 dhidi ya Kagera Sugar waibua jipya Mwadui FC.
Amesema baada ya matokeo hayo sasa anajiandaa na mchezo ujao dhidi ya Singida United ambao anaamini vijana wake watajituma na kutafuta ushindi ili kuendelea kujiweka katika msimamo wa ligi.