Maneno ya Mo Dewji yananipa tafsiri 6 zilizojificha.

kwa dunia ni ya 91, na kwa Misri ni ya kwanza pia. AS Club Vita kwa Afrika ni ya 5, kwa kongo ni ya 2 na duniani ni ya 176. JS Saoura ni ya 53 kwa Afrika, ni ya 4 kwa Algeria na ni ya 644 kwa dunia. Wakati Simba ni ya 326 kwa Afrika, ya 1 kwa Tanzania na ni ya 1817 kwa dunia.

Al Alhly watazidi kumnyamazisha Manara?

Al Alhly ndiyo mabingwa wa kihistoria wa kombe hili la ligi ya mabingwa barani Afrika. Kombe hili huwa wanalichukulia kwa maanani sana. Siyo rahisi kwao wao kukubali kupoteza nyumbani tena dhidi ya Simba.

Stori zaidi