Serikali yatoa marufuku kuuita uwanja wa taifa “ kwa Mchina”
Nawaomba msiuite uwanja huu kwa mchina, uwanja huu hatukupewa zawadi na China, usijenge “concept” kwa watoto kuwa tulipewa zawadi, unaitukana kodi ya Mtanzania”
Nawaomba msiuite uwanja huu kwa mchina, uwanja huu hatukupewa zawadi na China, usijenge “concept” kwa watoto kuwa tulipewa zawadi, unaitukana kodi ya Mtanzania”
Fuatilia hapa dondoo za makundi ya AFCON U17 2019. Shughuli hii inaletwa kwenu moja kwa moja kutoka Mlimani City, Dar es Salaam.
Tanzania inatarajia kupokea ugeni wa wajumbe wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kwa ajili ya kukagua miundo mbinu pamoja na kupanga makundi ya michuano Mataifa Afrika chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika mwakani hapa nchini.
Kocha wa timu ya vijana chini ya umri….Stori zaidi.