Tigana Lukinja: Sikutegemea usajili wa Yanga!
Tayari alikua katika nchi ambazo walau zimechangamka kisoka lakini ameamua kurudi nyuma
Tayari alikua katika nchi ambazo walau zimechangamka kisoka lakini ameamua kurudi nyuma
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa….Stori zaidi.
Kamati ya Nidhamu ya TFF imebaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Kukubali kusikilizwa kwa Abdalah Shaibu “Ninja” kutakuwa na maana ya kwamba adhabu yake imeondolewa mpaka pale kamati ya nidhamu ya TFF itakapomsikiliza.
Usajili wake wala haukuwashtua wengi, haitoshi, mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi za Yanga SC alijifunga na kusababisha penati Agosti, 2017.
Beki wa timu ya Soka ya Yanga Abdallah….Stori zaidi.