Sambaza....

Klabu ya soka ya Simba sc “Wekundu wa msimbazi” wametoa taarifa rasmi ya usajili katika dirisha dogo lililofungwa December 15 mwaka huu.

Katika taarifa hiyo klabu hiyo imeainisha wachezaji walioingia na walioenda kwa mkopo, huku kukiwa hakuna hata mchezaji mmoja alieuzwa na klabu hiyo.

Waliotolewa kwa mkopo

Said Nduda – Ndanda Fc! Mohammed Rashid – KMC! Salum Juma (U-20) – Ashanti United! Marcel Bonaventure – AFC Leopard (Kenya)

Walioingia

Zana Coulibaly – Asec Memosa!


Sambaza....