Ungana nami katika hatua hii ya mwisho kabisa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika Kundi D kila timu inaonekana kuwa na nafasi. Lakini Je nani ataenda? na nani atabaki? Simba SC je ina nafasi… kwangu ni Ndio!
Nitakuwa nakuletea Dondoo wakati wa mechi hii na wewe msomaji wetu mpendwa unaweza kuungana nami katika sehemu ya maoni hapo chini au katika kurasa zetu za Jamii Twitter, Facebook na Instagram
Msimamo wa Kundi D
#KandandaChat:
Vikosi vya mechi ya Simba vs AS Vita tayari vipo hewani.
Kikosi cha Simba SC. 1 A. Manula 2. Z. Coulibaly 3. M. Hussein 4. P. Wawa 5. E. Nyoni 6. J. Kotei 7. H. Niyonzima 8. M. Yassin 9. M. Kagere 10.J. Bocco 11. E. Okwi Sub: Deo munishi, Kwasi, Bukaba, Ndemla, Dilunga, Salamba, Chama Mfumo: 4;4;2