George Mpole kutoka Geita anaelekea kuchukua kiatu cha dhahabu. Lakini juu yake kuna Mayele ambaye ni hatari zaidi langoni naye anakivizia kwa hamu kubwa kiatu hicho.
Je unadhani nani kuibuka kinara wa magoli wa msimu 2021/22.
Sambaza…. Kwa taarifa tu ni kwamba baada ya….Stori zaidi.
Naaaam soka hushangaza, soka huduwaza mashabiki hususani matokeo yake. Yanga wanaweweseka.