Mkutano unaendelea Jijini Arusha, tunakuletea dondoo muhimu kutoka huko pamoja na maoni yetu.
Vipaumbele 11 vya Rais Wallace Karia wakati akigombea
(i) Nidhamu ya muundo na mfumo
(ii) maendeleo ya vijana, wanawake na soka la ufukweni
(iii) Mafunzo na ujenzi wa uwezo
(iv) Mapato, Uwezeshaji na Nidhamu ya Fedha
(v) Miundombinu na Vifaa
(vi) Maboresho Bodi ya Ligi
(vii) Ushirikiano wa Wadau
(viii) Udhamini na Masoko
(ix) Maboresho ya Mashindano
(x) Uimarishaji Mifumo ya Kumbukumbu
(xi) Ufanisi wa Waamuzi
Dondoo kutoka katika mkutano huu kwa njia ya Social media
Rais Karia amesema kama kuna mtu anaungana na mtu aliyeiba pesa za TFF naye atashughulikiwa na kuongeza “Kama kuna mtu anampenda aliyeiba fedha za TFF basi akae naye nyumbani kwake ampikie pilau”. @Tanfootball #MkutanoMkuuTFF #Arusha2019 pic.twitter.com/njHg0qLePl
— Azam TV (@azamtvtz) February 2, 2019
Maeneo yaliyofanyiwa kazi ni yafuatayo
1. Tumefanya mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 yaliyofanyika Dodoma kwa mtindo wa ligi
2. Tumeboresha programu za vijana na kuendesha katika mashindano mbalimbali
Rais TFF Wallace Karia #MkutanoMkuuTFFArusha2019 pic.twitter.com/ujhhZ83axE
— TFF TANZANIA (@Tanfootball) February 2, 2019