Huu ni utabiri wangu wa mechi za leo, fuatilia pia ratiba ya mechi hizi hapo chini. Unaweza pia kuweka mkeka wako katika sehemu ya maoni.
Nyumbani | Utabiri | Mgeni | |
---|---|---|---|
Coastal Union FC | 1 – 0 | Ndanda FC | |
Mwadui FC | 0 – 0 | Lipuli FC | |
Alliance Sch | 0 – 1 | Mtibwa Sugar | |
Biashara FC | 1 – 0 | Tanzania Prisons | |
Kagera Sugar FC | 2 – 0 | Singida United | |
Ruvu Shooting | 2 – 0 | Stand United |