Sambaza....

Arsenal wanashikilia rekodi ya kucheza michezo 49 bila kufungwa kutoka msimu wa 2002 na 2003, wakati Chelsea wanashikilia rekodi ya kucheza michezo 86 bila kupoteza wakiwa nyumbani katika EPL. Wabishi Everton wao wanashikia rekodi ya kupata sare nyingi zaidi mfululizo wakati West Ham wao wamepoteza zaidi nyumbani mfululizo.

 


Sambaza....