Sambaza....

Kampuni ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet yenye lengo la kuwasaidia Bodaboda wote wa maeneo ya Dar Es Salaam kwa kuwapatia elimu ya usalama barabani na kutoa vifaa kazi kama Reflectors.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara odds kubwa zaidi, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Akiongea na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu, aliyeambatana na timu ya masoko kutoka Meridianbet alisema wameamua kushirikiana na jeshi la Polisi la Usalama Barabarani kutoa elimu ya Usalama barabarani pamoja na kugawa reflectors kwa madereva bodaboda.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette

Sababu ya kufanya hayo kupunguza ajali nyingi sana hususanI nyakati za usiku na ndiyo maana wameamua kutoa reflectors kwa madereva wa bodaboda wote waliopo jijini Dar es Salam, maeneo yaliyofikiwa mpaka sasa ni Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu huku lengo ni kuwafikia madereva bodaboda wote wa jiji lote la Dar es Salaam.

“Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflectors hizi maalum ili kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi” Nkurlu

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, kusanya mizunguko yako na odds kubwa za soka hapa.

NB: Meridianbet Jackpoti inaendelea kwa mechi 13 odds kubwa, dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Sambaza....