Sambaza....

Kila mtu ana siku yake ya kutoboa kwenye Maisha, kama haijafika basi ipo karibu kufika ongeza bidi na juhudi piga sala na maombi utafanikiwa, usiku wa Pasaka unaweza kusema sio kila mtu alifurahia lakini kuna mtu mmoja tu ambaye huenda akasimulia jamaa zake baada ya kupata nyumba yenye thamani ya Tsh Mil 26 kwa Elfu Ishirini! Unajiuliza dalali ni nani aliyefanya yote haya yawezekane? Basi jibu ni rahisi sana ni kampuni ya Meridianbet imewezesha yote haya.

Kutoka ulimwengu wa odds kubwa Meridianbet Tanzania, mwamba ametambulishwa kama mshindi mkubwa wa kiasi cha Tsh 26,997,852/= (Milioni Ishirini na Sita Laki tisa na Elfu Tisini na Saba Mia Nane Hamsini na Mbili), huu ni ushindi mkubwa katika Maisha yake tangu aanze kubashiri na Meridianbet kama alivyosema.

“Tangu nimeanza kubashiri kupitia Meridianbet nilikuwa Napata kiwango cha kawaida lakini leo nadhani ilikuwa ni bahati kwangu, niliamua kuweka Tsh 20,840/= na timu zangu kumi, kila moja niliipa machaguo tofauti kwa kuwa Meridianbet wanatoa machaguo tofauti kwenye mechi moja” Mshindi wa Mil 26 TZS alisema.


Ushindi huu ni kawaida sana kuupata Meridianbet kwa sababu kila siku washindi wapya wanashinda kwenye kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka, ukiweka odds kubwa unajiweka kwenye nafasi ya kushinda Zaidi, kwa sababu hata Mfalme huyu wa kubashiri soka alitengeneza mkeka wenye odds kubwa ya 1439 na akashinda.

Maisha ni rahisi kama tu utaichagua Meridianbet sehemu pekee inayokupa machaguo bora kila mechi, unaweza kuturbo/ Cash Out, odds kubwa na mengine kibao, lakini bila kusahau kuna Jackpoti kubwa kabisa ya Tsh Mil 85,000,000/= kwa timu 13, endapo ikatokea umechana tiketi yako kwa timu moja au mbili unalipwa kuanzia 500,000/= TZS-10,000,000/= TZS PIGA *149*10#

Sambaza....