Sambaza....

Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.

Baada

Klabu ya soka ya Simba sc leo inashuka dimbani kukabiliana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara katika dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.

Kwa ushindi wowote watakaoupata leo Simba dhidi ya Coastal Union ni dhahiri shahiri wataishusha Yanga kileleni na kuongoza Ligi.

Tazama hapa msimamo :

Msimamo wa Ligi Kuu Bara

Uwanja

Uhuru Stadium

Taarifa

Tarehe Muda Ligi Msimu Mwisho
08/05/2019 4:00 pm TPL 2018-2019 90'

Sambaza....