
- AFCON 2027: Tanzania Inajiandaa – Kandanda.co.tz Yaleta Maeneo Muhimu ya Mashindano!
- Pamoja AFCON 2027
- Safari ya Yanga, Mikononi mwa Dube
- Simba na Yanga nani anaongoza kuweka mpira kwapani.
- Yanga Waweweseka! Gamondi Nje!
Habari za chini ya kapeti zilizotua katika meza ya Uhamisho ya Kandanda.co.tz ni kocha msaidizi wa zamani wa klabu ya Simba Sc, Masoud Djuma, anaelekea kujiunga na klabu ya KMC kuchukua nafasi ya Etienne.
Ni leo (07/06) tu KMC walithibitisha kuwa Etienne hataendelea na mkataba katika klabu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho maimu ujao, hii inawezekana kuwa kuna nafasi ya Djuma kuwa mfalme wa KMC msimu ujao.
Kwa upande wa Seleman Matola, naye inasemekana anakuja kuungana na Masoud katika kuisuka kiushindani klabu hiyo yenye makazi yake wilayani Kinondoni, jijini Dar es slaaam.
Zaidi tutawaletea kwa undani..