Kabla ya Mechi.
Yusuph Mhilu akimtoka Makame Yusuph Mhilu (Kagera) akizidi kumtoka Makame (Yanga) Ditram Nchimbi (Kushoto) wa Yanga akiwania mpira mbele ya Juma Nyosso (Kulia). Yusuph Mhilu akiangalia mpira ambao aliupiga kuelekea golini. Shikalo, Golikipa wa Yanga akiupokea mpira ambao tayari umeshagusa nyavu zake. Shikalo, akishika kiuno kuashiria ‘Mbombo ngafu” Mecy Mexime, Kocha wa Kagera akisisitiza jambo. “Mpira uende wapi hapo?” Niyonzima akipamna hapo Mkwasa na Luckwa mbali wakizoza jambo huku Mecky akifuatilia mchezo Kapama akimiliki mpira huku Lamine Moro akihakikisha hapiti. Nchimbi na Seseme wakiwa katika harakati za kuwania mpira Haendi mtu popote hapoooo! Yondani akiwahi mpira kuuzuia.. Pale yondani aliposhindwa kumiliki mpira hali ilikuwa hivi Yikpe (Kushoto) akiwania mpira Mwaita Gereza, akimwaga maji ..watu wa mpira wanavyosema Makame akijianda kurusha mpira Sabato akipambana na Mapinduzi Mwamba wa Ziwa, Mrisho Ngassa,akiangalia kwa mbali yanayoendelea.