Mshambuliaji hatari wa Serengeti Boys , timu ya Taifa ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17 ambaye aliumia kwenye mchezo dhidi ya Rwanda.
Mshambuliaji Huyo ambaye alikuwa mfungaji bora wa mi chuano ya CECAFA kwenye michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17.
Habari inaendelea baada ya tangazo hili….
Wengi walipata hofu ya yeye kutopata nafasi ya kucheza michuano hiyo ya vijana yaliochini ya umri wa miaka 17 Afcon hapa Tanzania.
Lakini taarifa zinadai kuwa Kelvin John atakuwepo kwenye michuano hiyo ya Afcon kuiwakilisha timu yake ya Taifa ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 na hii itakuwa faraja kubwa kwa Tanzania.
- Safari ya Yanga, Mikononi mwa Dube
- Simba na Yanga nani anaongoza kuweka mpira kwapani.
- Yanga Waweweseka! Gamondi Nje!
- Fadlu Tunaamini anawapa Ubingwa Wekundu
- Manuel Neuer ana umri sawa na uchambuzi wa soka kwa kompyuta