Sambaza....

Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Ajax na Barcelona raia wa Uruguay Luis Suarez hakuwahi kuonekana uwanjani bila bandeji mkono wake wa kulia.

Suarez amekua akivaa bandeji katika mechi zake zozote zile za klabu ama timu ya Taifa.


Sambaza....