Kocha Emmanuel Amunike amemuongeza beki wa Kati wa klabu ya Simba, Erasto Nyoni, katika kikosi cha Taifa Stars. Hii ni kuongoza nguvu katika kikosi cha Stars kwaajili ya mechi ya marudio dhidi ya Cape Verde jumanne hii.
Katika mechi hiyo Taifa Stars itamkosa pia Hassan Kessy aliye na kadi mbili za njano.
habari zaidi kufuata…