Mo: Simba haikusajili vizuri.
Mwaka jana tulitumia kampuni ya kutoka Afrika Kusini lakini walituangusha sana. Nakiri makosa kama mwenyekiti.
Mwaka jana tulitumia kampuni ya kutoka Afrika Kusini lakini walituangusha sana. Nakiri makosa kama mwenyekiti.
Aliyewahi kuwa beki wa Nkana FC msimu uliopita….Stori zaidi.
Baada ya kukosa namba katika klabu ya Simba….Stori zaidi.
Huyu ni mshambuliaji makini na hatari, akiwa amefunga mabao 10 katika msimu uliopita wakati akiwa na Lipuli FC.
Baada ya jana mkuu wa kitengo cha habari….Stori zaidi.
Suala kubwa kwa sasa kwenye anga la mpira….Stori zaidi.
Tuanzie kwenye lugha ya picha hapo kwanini Eng Hersi na gumzo la jiji Morrison wamekutanisha viwiko?
Yanga kwa sasa inahangaika na sakata la Bernard….Stori zaidi.
Tayari alikua katika nchi ambazo walau zimechangamka kisoka lakini ameamua kurudi nyuma
Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya