Nyota watakaompisha Ten Hag United wakiongozwa na Pogba
Pengine moja ya majina ya kushangaza zaidi ya wababe hao wa Uingereza wanasemekana kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo ni mhitimu wa akademi
Pengine moja ya majina ya kushangaza zaidi ya wababe hao wa Uingereza wanasemekana kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo ni mhitimu wa akademi
“Walianza kunifwatilia muda tuu kumbe hata kabla ya kusaini Dodoma Jiji, waliniona na wakaomba video zangu wakatumiwa mechi nilizocheza na kocha akapendekeza jina langu kusajiliwa katika timu yake.
Uwepo wa washambuliaji wazoefu Meddie Kagere na John Bocco lakini pia ingizo jipya Cris Mugalu.
Baada ya habari nyingi kusambaa kuhusu Carlihno kuwa na mkataba wa miezi 6, Yanga wamekanusha habari hizo.
Sijui upande wenu na tuna kikosi ambacho kinajumuisha Mataifa nane ya Afrika, sijui upande wenu, mtatuambia lakini.
Amepitia vilabu vinne vya Afrika TP Mazembe, Zesco, Rayol Sports na Polokwane alipokua mpaka sasa
Kocha Cedric Kaze amedai aliacha kuongeza mkataba na Barcelona ili aje kufundisha nyumbani
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Msimu ujao Yanga ikikosa ubingwa tuulizwe sisi GSM” Mhandisi Hesri Said alisisitiza katika moja ya kauli zake kwa Wanayanga kuelekea msimu ujao.
GSM imemzidi Mo-Dewji kwenye dirisha hili la usajili