Ndemla atua Yanga.
Ndemla ataungana na Ibrahim Ajib ambaye ashawahi kutoka Simba na Kuja Yanga na waliwahi kucheza pamoja katika timu ya Simba.
Ndemla ataungana na Ibrahim Ajib ambaye ashawahi kutoka Simba na Kuja Yanga na waliwahi kucheza pamoja katika timu ya Simba.
Mshahara anaoupata hata angekua mwanao ungemruhusu tuu aende.
Habibu Kyombo alifuzu majaribio na pia alifanyiwa vipimo vya afya.
Eliud Ambokile anakwenda kujaribu bahati yake nchini Africa Kusini.
Mghana huyo ni mzoefu na ligi hiyo. Alikiepo hapo akiwa na klabu ya Las Palmas.
Mshambuliaji wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, yupo safarini muda huu kuelekea Misri kwaajili ya majaribio karika klabu ya El Gouna SC inayoshiriko Ligi Kuu nchini humo.
Amecheza michezo 54 kwenye timu ya Taifa ya Uholanzi akifunga mabao nane, pia aliwahi kuwa kwenye kikosi hicho kilichocheza mchezo wa fainali na Uhispania katika kombe la dunia mwaka 2010.
Mbwana Samata anaongoza katika chati ya ufungaji mabao katika Jupiter pro League
Said Ndemla anaondoka anaiacha Simba ikiwa katika michezo muhimu ya klabu bingwa Africa.
Uhuru selemani mchezaji wa zamani wa Simba na Coastal Union