Simba yaanza vurugu za usajili,yamshusha mmbaya wao!
Simba sasa imeanza makeke yake katika usajili kwa kumshusha winga machachari.
Simba sasa imeanza makeke yake katika usajili kwa kumshusha winga machachari.
Haruna Moshi msimu uliopita alikua akiitumikia Yanga chini ya Mwalim Zahera kabla ya msimu kuisha na Yanga kuamua kuachana nae lakini sasa amerudi kivingine tena VPL.
Ikumbukwe katika usajili wa dirisha kubwa msimu huu Yanga ilikua imesajili washambuliaji wa kigeni tupuu huku kukiwa hakuna mzawa hata mmoja.
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.
Ni jana tu Simba ilitoa picha wakimsaini John Bocco, na leo wataendelea kutoa zaidi. Je Bocco anaweza kwenda kucheza nje?
Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.
Mrisho Ngassa anauzoefu mkubwa kwenye michuano hii ya kimataifa ndiyo maana KMC FC ipo kwenye vita vikali
Simba imeaanza kuonyesha picha za usajili, ikiwa ni sehemu ya usajili kwaajili ya msimu ujao na michuano ya Afrika
Masoud Djuma anarudi, Etienne anaenda Azam, Mwadini aongeza mkataba.. tetesi na uhamisho uliokamilika hadi leo.
Samatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia mabao 23 klabu hiyo ambayo ilitwaa kombe la ligi yao.