Samatta: Ilikua ni ndoto!
Mbwana Samatta pia alidokeza alikua akimfwatilia Gabriel Agbolanhor alipokua akiitumikia klabu hiyo iliyopo jiji la Birmingham.
Mbwana Samatta pia alidokeza alikua akimfwatilia Gabriel Agbolanhor alipokua akiitumikia klabu hiyo iliyopo jiji la Birmingham.
Samata mchezaji wa zamani wa African Lyon, Simba sc na TP Mazembe anakua Mtanzania wakwanza kucheza katika Ligii Kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL.
Kipa huyo amesaini kandarasi ya miezi sita ili kuweza kuitumikia Lipuli fc yenye maskani yake jijini Iringa.
Timu hiyo imeonyesha haina masishara katika kujiokoa na janga la kushuka daraja baada ya kufanya usajili wa nguvu ili kujinisuru.
Simba wamewazidi tena kwa Mara ya pili kwenye dirisha hili dogo la usajili. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imekuwa ikiwazidi Yanga kwenye usajili dakika za mwisho.
mchezaji huyo wa zamani wa Simba sc na Mbao mwenye uwezo wakucheza kama kiungo pia amesajiliwa na Namungo kwenda kuziba nafasi ya Paul Ngalema ambae tetesi zinasema huenda akarudi katika klabu yake ya Lipuli fc.
Mlinda mlango huyo aliekua ametimkia nje ya nchi kunako klabu ya Ligi Kuu nchini Kenya.
Wanasema nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke, gia ya Kotei inaelekea kubadilikia angani sababu ya hili..
Yanga imemtangaza rasmi Mrithi wa Mwinyi Zahera ambaye….Stori zaidi.
Mwanzoni mwa msimu huu Yanga walimsajili aliyewahi kuwa….Stori zaidi.