Abdulhalim Humoud tunamuuza nje na siyo Yanga- Mtibwa Sugar
Baada ya jana mtandao huu kukuletea taarifa….Stori zaidi.
Baada ya jana mtandao huu kukuletea taarifa….Stori zaidi.
Beki kisiki wa klabu ya Coastal Union….Stori zaidi.
Mshambuliaji wa Tanzania Eliud Ambokile ambaye kwa….Stori zaidi.
Asilimia tisini na tisa ya watu hawangewachagua (Jordan) Henderson na (Georgiainio) Wijnaldum mbele ya Kevin De Bruyne na David Silva .
Makala hii inakuletea baadhi ya sajili ambazo zimeonekana kulipa na wachezaji kuingia moja kwa moja katika vikosi vya kwanza na kuleta faidi katika timu
Tuambie ni kwako anafaaa kua usajili bora namba moja katika dirisha dogo na nina aliekuvutia kati ya sajili hizi tano, tupe maoni maoni yako.
Mpaka sasa Kroose anaitumikia Real Madrid chini ya Zinedine Zidane huku akiwa mchezaji alieshinda vikombe vyote kwa ngazi ya klabu na timu ya Taifa.
Timu hiyo imekua na rekodi nzuri katika Ligi ya kwao huku msimu ikishiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Timu hiyo ilikua kundi B pamoja na vigogo Bayern Munich na Totenham Hotspurs.
Slavia fc inayoshiriki Ligi Kuu nchini Belarus ikishika nafasi ya 8 ikiwa na alama 13 katika timu 16.
The Southern Killers” wamesajili jumla ya wachezaji watano wapya huku pia wakiwaacha wachezaji watano na kuwatoa kwa mkopo wachezaji watatu.