Singida Hawajamaliza Kushusha Wasauzi!
Sasa kocha huyo Mjerumani ana kibarua chakuwavusha Singida katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Shirikisho Afrika
Sasa kocha huyo Mjerumani ana kibarua chakuwavusha Singida katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Shirikisho Afrika
alijiunga na Makabi Tel Aviv akianzia timu ya vijana kabla ya kupandishwa na wakamuuza Ubelgiji katika klabu ya Zulte Waregem.
Rahisi! Kilichobaki sasa ni kocha kutengeneza timu imara zaidi kupitia wachezaji waliopo na waliosajiliwa
alisaini mkataba wa kujiunga nao kabla ya msimu mpya na ameanza mchakato wake wa kupata kibali cha kufanya kazi na kukimbia kabla ya kuhamia Afrika Kusini rasmi.
Wawili hao Clatous Chama na Luis Miquissone waliondoka kwa pamoja mwaka 2022 ambapo walielekea RS Berkane na Al Ahly lakini sasa wawili hao wote wamerejea Simba
Mao, mwenye umri wa miaka 30, alitumia misimu miwili iliyopita huko El-Mahalla.
Hata hivyo imefahamika Yanga walimkosa mchezaji wake chaguo la kwanza Ranga Chivaviro, ambaye Kaizer Chiefs ilimnyakua
Ni ngumu kushinda kikombe ukiwa hauna kipa imara anayeweza kukupa pointi 15 yeye binafsi katika msimu mmoja.
Nitakupa mikasa ya huyu mzee (Babu yake na Jonas) Mzee Masharubu ni Simba kweli kweli. Kuna mambo mawili yametokea Mzee Masharubu akiwa amelala zake kaburini
Malone pia ni mchezaji bora wa Ligi ya Cameroon akitoka kutwaa tuzo hiyo Ijumaa ya wiki iliyopita anaejulikana kwa jina la utani “Ukuta we Jeriko”