Alli Kamwe amewaambia wapenzi na mashabiki wote wa klabu ya Yanga kila mmoja ana jukumu la kuisaidia Yanga ipate matoekea mazuri na si tu uongozi ama benchi la ufundi ndio wana hilo jukumu.
Mchezo huo utaangukia katika sikukuu ya Eid hivyo Wanasimba wamealikwa Benjamin Mkapa ili wakale pilau la sikuu na kuona jinsi Simba wanavyotimiza jambo lao mbele ya timu kubwa na bora Afrika.
Mechi itachezwa siku yenye baraka, naomba kuwakaribisha Watanzania wote kuja kuangalia timu mbili bora zikicheza
Awali kulikua na katazo la mashabiki katika viwanja vya soka nchini Misri kutokana na sababu za kiusalama na kupelekea michezo mingi nchini huo kuhudhuriwa kwa idadi maalum ya mashabiki.
Vihiga Queens kutoka Kenya ilikua bingwa kwa mara ya kwanza mwaka 2021 huku Simba Queens ya Tanzania ikishinda mwaka jana
msimu uliopita waliwatoa pia katika michuano ya kombe la FA katika hatua ya robo fainali pia.
Baada ya ushindi huo sasa Mnyama Simba atakutana na Azam Fc katika nusu fainali ya michuano hiyo ya FA
Kwa upande wa Geita wao bado wanakumbuka walivyofungwa nje ndani na Yanga msimu huu lakini pia walovyotolewa msimu uliopita katika michuano hii hii hatua ya robo fainali na Wananchi Yanga.
Vita ya Simba na Ihefu ni kama bado haijakwisha kwani siku tatu mbele yaani tarehe kumi watakutana tena mkoani Mbeya Mbarali
Wanajeshi hao wamedhamiria kupanda Ligi na si ajabu kufanya kwap vyema kunatokana na kusheheni mastaa kibao walioahi kutesa na timu za Ligi Kuu