Kocha Yanga: Ni Ngumu Kumbakisha Mayele
Mayele na Aziz Ki wataokusa mchezo wa fainali kesho dhidi ya Azam kwasababu wameitwa kwenye majukumu ya timu zao za Taifa.
Mayele na Aziz Ki wataokusa mchezo wa fainali kesho dhidi ya Azam kwasababu wameitwa kwenye majukumu ya timu zao za Taifa.
Manchester City walikuwa wakishiriki fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa ndani ya misimu mitatu, baada ya kushindwa na Chelsea mwaka 2021.
Tunajivunjia mchezaji wetu kutakiwa na timu zote kubwa za Afrika. Ingeshangaza tufanye vizuri alafu isiwe kocha wala mchezaji wetu kutakiwa na timu nyingine
Tutahakikisha tunaweka juhudi sana katika kuleta ushindi kwa timu yetu
Mbinu za Profesa Nabi leo zinahitajika na ndio zitaamua leo Yanga inapata matokeo gani.
Wakiondoka na ndege ya Shirika la ndege la Tanzania “Air Tanzania” msafara huo umeonekana ukiwa na hamu kubwa ya kurudi na kombe la ubingwa wa Shirikisho
Tangu nipo Tanzania mechi niliyocheza ikiwa na mashabiki wengi ni mechi ile ya juzi dhidi yao (fainali dhidi ya USM Algier), watu walikuwa wengi ni walitusapoti sana
Naona Wananchi kwenye vita vingine baada ya fainali ya kupambana kumbakiza tunaposema mpira si mchezo wa siri kama unajua unajua tu na utaonekana hadharani
Wananchi sasa wana kibarua kigumu chakupindua matokeo katika mchezo wa fainali ya pili utakaopigwa Jijini Algiers nchini Algeria siku ya June 3
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani Haji amesema kuwa ili uweze kupata tiketi unahitaji kuwa na N-card ambayo gharama yake ni 1,000 na gharama ya tiketi ni 5,000.