Yanga ni Rwanda na Simba Wao ni Zambia
Sasa wababe hao wa nchi wanaotokea Kariakoo wanakwenda katika vibarua vinavyofwata
Sasa wababe hao wa nchi wanaotokea Kariakoo wanakwenda katika vibarua vinavyofwata
Hivyo ni wakati wa Konkoni kutengeneza kujiamini na kutuaminisha wadau wa mpira kuna kitu amekihifadhi miguu
Ni mchezo muhimu na wakuanza kuandika historia kwa Yanga.
Katika mkutano huo pia Afisa habari huyo alitaja viingilio vitakavyotumika huku pia akiwaita mashabiki wa klabu yake ya Yanga kuwavaa Wadjibout hao.
Kutakuwa na “best loser” wanne toka nafasi ya pili wataokwenda kucheza mtoano na mataifa mengine kuwania nafasi ya tisa kwa Africa.
Msemaji wa TFF Cliford Marion Ndimbo tayari ametaja viingilio vya mchezo huo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya jioni siku ya Jumapili.
Orebonye alijiunga na USM Algier katika usajili wa dirisha dogo akitokea timu ya Morocco Olympique Khouribga
Baada yakutwaa kombe hilo sasa Yanga kwa msimu huu imefanikiwa kutwaa mataji mataji matatu (Ngao ya Jamii, Ligi Kuu ya NBC na kombe la FA
Mtanirekebisha lakini kama Waarabu wakiendelea hivi wala hatupo mbali saaana kama nilivyokuwa nafikiria. Naruhusu maoni tofauti.
Ni miaka minne imepita sasa Azam Fc wamefanikiwa tena kutinga fainali akionekana mwenye uchu na njaa ya kombe hilo