Kocha Yanga: Ni Jambo la Nchi Tena.
Ni mchezo muhimu na wakuanza kuandika historia kwa Yanga.
Ni mchezo muhimu na wakuanza kuandika historia kwa Yanga.
Katika mkutano huo pia Afisa habari huyo alitaja viingilio vitakavyotumika huku pia akiwaita mashabiki wa klabu yake ya Yanga kuwavaa Wadjibout hao.
Mtanirekebisha lakini kama Waarabu wakiendelea hivi wala hatupo mbali saaana kama nilivyokuwa nafikiria. Naruhusu maoni tofauti.
Hii itakuwa fainali ya pili mfululizo kwa Wydad na ya tatu dhidi ya Al Ahly, msimu uliopita wawili hao walikutana na Wydad waliibuka washindi kwa na kutwaa kombe hilo.
Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa….Stori zaidi.
Simba wakubali ukweli kwamba wametolewa na hawajafikia lengo lao na si kutumia kivuli chakusema wamejitahidi ama wamekufa kiume.
Safari ya Wekundu wa Msimbazi Simba katika Ligi ya Mabingwa imeishia rasmi mbele ya mabingwa watetezi Wydad Casablanca baada yakuondoshwa kwa mikwaju ya penati 4-3.
Ni wazi Wanasimba wanategemea wachezaji wap kurudia kile kilichotokea miaka 20 nyuma yaani mwaka 2003 ambapo Mnyama alimtoa Zamalek ambae alikua bingwa mtetezi tena katika ardhi ya nyumbani kwake Misri
Nae kiungo wa pembeni wa Simba Pape Osmane Sakho akiongea kwa niaba ya wachezaji wa Simba amesema wao kama wachezaji wapo tayari kupambana ili kutimiza ndoto yakufuzu nusu fainali.
Hapa ndiyo nafasi ya “Video analysist” wa timu inapokuja, najua mpira wa Africa unachezwa kwa mbinu zaidi na fitna za Kidunia za nje ya Uwanja.