Safari ya Yanga, Mikononi mwa Dube
Klabu ya Yanga watakuwa wanamkaribisha Al Hilal katika….Stori zaidi.
Klabu ya Yanga watakuwa wanamkaribisha Al Hilal katika….Stori zaidi.
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa….Stori zaidi.
Kutoka kwenye Sanduku langu la Maoni mpira ule haukuvuka mstari wa Goli na ndio maana leo hii kumetokea pande mbili zinazokinzana kuhusu kama lile lilikuwa goli halali ama la!
Kuelekea michezo hiyo dhidi ya Niger na Morocco kocha mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ametaja kikosi kitakachoingia kambini
Klabu ya Yanga, leo hii wanashuka Dimbani kutafuta….Stori zaidi.
Simba akiwa katika uwanja wa nyumbani huwa tofauti sana kwani timu vigogo wa Afrika walipigika
Katika mchezo huo ilishuhudia mshambuliaji wa Simba Jean Baleke akikosa mabao matatu
Uwepo wa mashabiki wa timu zetu kutawanyima uhuru mkubwa mashabiki wenyeji kufanya fitina nyingi
Kuelekea safari hiyo Kamwe amewaita mashabiki na kuwataka kuungana nao ili kwenda kuweka historia mpya nchini Kigali Rwanda.
Amezungumzia hali ya wachezaji majeruhi Aubin Kramo na Henock Inonga.