Fabrice Ngoma Tiba Sahihi ya Simba Eneo la Kiungo
Huu ndio ubora ambao Simba SC walihitaji kwenye eneo la kiungo na ubora wenyewe ndio Fabrice Ngoma
Huu ndio ubora ambao Simba SC walihitaji kwenye eneo la kiungo na ubora wenyewe ndio Fabrice Ngoma
Sasa tunamuona Ibrahim Bacca mbele ya Young Africans bora kama ilivyo timu bora kwenye miguu yake.
Hii ni faida kwa soka letu. Kibiashara hapa tunaweza kupata wawekezaji wengine kutokea Kaskazini.
nitamsubiri kwenye mechi nyingine kisha nitakuja na maoni ya ujumla.
Vitu ambavyo Nampoka Nyumba ndiyo alivyokuwa anavifanya wakati wake hapo hapo Msimbazi.”
Kama Yanga angeshinda leo maana yake angekua ametwaa Ngao mara tatu mfululizo tena mbele ya Simba.
Ni uvumilivu wa Gamondi ama jeuri ya Robertinho? Ni mizimu ya Maradona ama malaika wa Pele?
Young Africans ina wachezaji wageni wenye ubora katika eneo hilo lakini bado naamini kutokana na uwezo wa Clement Mzize
Yanga na Simba wanakwenda kukutana katika mchezo huo baada ya Simba kumfunga
Rahisi! Ngao ya Jamii siku ya kesho dhidi ya Young Africans naona Ally Salim akipata nafasi golini.