Simba: Al Ahly Hawapendi Kukutana na Sisi.
Hakika Al Ahly hawakupendelea kukutana na Simba katika mchezo huo. Mechi itakuwa ngumu sana,
Hakika Al Ahly hawakupendelea kukutana na Simba katika mchezo huo. Mechi itakuwa ngumu sana,
Hiki hua ni kipindi ambacho ligi zimesimama na wachezaji wachache teuliwa hujiunga na timu zao za Taifa na kuwaacha wengine vilabuni
Bora utoe pongezi pale mtu anapofanya vizuri na usisubiri mpaka aondoke ijapo mapungufu yapo pia
Nimeona ni mkataba wenye masharti magumu. Ameambiwa asifanye matukio ya utovu wa nidhamu kwa miezi 12 ya mkataba wake.
Timu nyingi kubwa zilizofanikiwa zilianza na harakati za namna hii.
Good Signing for Young Africans within this three years! Umri mdogo na kipaji kikubwa
Mechi dhidi ya Al Ahly itakuwa derby kali na mchezo mkubwa, na tunayo nafasi ya kujituma zaidi
Kwa upande wa Simba hii ni nafasi nyingine yakuandika historia katika michuano hii mipya ya vigogo wa Afrika
Chanzo kutoka Kenya kinataarifu juu ya kambi hiyo ambayo itakua sio chini ya siku tano
Bondia namba moja nchini katika uzito wake Fadhili Majiha amesema anafurahi kupata fursa hiyo