Tony Rashid na Sabelo wapima uzito leo, kinawaka kesho Ubungo Plaza
Tony atapanda ulingoni katika pambano hilo kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa Afrika ABU ambao alishinda mwaka jana kufuatia kumchapa kwa pointi Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini.
Tony atapanda ulingoni katika pambano hilo kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa Afrika ABU ambao alishinda mwaka jana kufuatia kumchapa kwa pointi Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini.
pambano hilo linalotarajia kupigwa Februari 24, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza sambamba na Tony Rashid atakayepanda ulingoni kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa ABU dhidi ya Sabelo Ngabinyana wa Afrika Kusini.
Tony ambaye atakuwa na kazi ya kutetea mkanda wake wa ubingwa ABU dhidi ya Sabelo Ngabinyana kutoka Afrika Kusini hali iliopelekea kuwepo kwa mapambano mawili ya ubingwa wa ABU kwenye pambano hilo.
Novemba 4, 1961 kwa mara ya kwanza watu walishuhudia mbio za kwanza za magari Kyalami, circuit hii inaurefu wa kilometa 4,104 inakumbukwa sana kutokana na bara bara zilizonyooka