Saa02Asb: Hawachezi Mechi Mchana
Iwe michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya ama Ligi ya Ufaransa (League 1) wao hucheza mida ya usiku tuu.
Iwe michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya ama Ligi ya Ufaransa (League 1) wao hucheza mida ya usiku tuu.
Kwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta
Amevichezea vilabu kama vile Maerica (2004-2011), Ajaccio (2011-2014), Malaga (22014-2017), Granada (2016-2017)
Mara zote huonekana wakiwa wamevalia jezi za mikono mirefu
Iwe ugenini ama nyumbani Nyambizi huwa wanavaa jezi za njano
alifunga magoli hayo akiwa anazitumikia Santos Fc, New York Cosmos na timu ya Taifa ya Brazil.
Mwaka 2012 alifunga jumla ya mabao 91 akiwa katika klabu yake na timu ya Taifa
Rekodi hii inasimama mpaka leo na ikiwa ni miongoni mwa rekodi ngumu zaidi kuzivunja na walinda mlango wasasa.
Tuzo ya Ballon D’o ndio tuzo ya heshima na ya juu zaidi kwa wachezaji wa Kandanda, huyolewa kila mwaka kwa mchezaji bora wa Dunia.
Samweli Etoo ambae ndie Rais wasasa wa shirikisho la soka Cameroon alitwaa vikombe vingi