Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na Pirates kutoka klabu ya King Faisal FC ya Ghana kwa mkataba wa miaka mitatu. Hii ilikuwa ni baada ya kufanya vyema katika nchini kwake Ghana kwa kufunga mabao 12 na kutoa asisti 10 katika michezo 32 katika msimu wa 2020.
Mlinzi huyo wa pembeni amekua katika kiwango kizuri katika michezo ya Ligi Kuu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukaba na kumbuliaji akitumia akili nyingi ndani ya uwanja.
Kuelekea mchezo huo kumekua na sintofahamu ya hali ya afya ya wachezaji wake watatu ambao wamekosekana katika michezo ya hivi karibuni kutokana na majeruhi.
Kocha wa United baada ya kuanza msimu vyema na kuwa na matarajio makubwa ya kufuzu Ligi ya Mabingwa ameonekana kutaka kuendelea kuijenga na kuiimarisha United kwa kuongeza wachezaji watakaendana na falsafa zake na ukubwa wa United.
Klabu ya Newcastle United imeonyesha nia ya kumhitaji mlinzi wa kati na nahodha wa Manchester United.
Miongoni mwao ni pamoja na usajili wa Ngolo Kante na hatma ya kiungo wa Man City Benardo Silva.
Kuna kipengele cha kumrudisha nyota wao huyo kwa ada ya pauni milion 70 baada ya misimu miwili kumalizika
Geita ambayo kwa mara ya kwanza imecheza Ligi Kuu msimu uliomalizima na kukata tiketi ya kwenda katika michuano ya Kimataifa imedhamiria kufanya vyema katika michuano hiyo kwa kusajili wachezaji wazoefu.
Kwa mujibu wa msimamizi wa mchezaji huyo Imani Mandu amekiri kupokea wamepokea ofa tatu kutoka katika vilabu vya Ligi Kuu huku KMC wenyewe wakiwa bado kimya.
Senzo Mazingisa pia alikanusha uvumi wa Fiston Mayele kusajiliwa na Kaizer Chiefs na kusema kuna wanahabari wanataka kuwachanganya.