Kiungo aliyeikataa YANGA, kutua SIMBA leo mchana!
Tangu dirisha dogo la usajili lifunguliwe klabu ya….Stori zaidi.
Tangu dirisha dogo la usajili lifunguliwe klabu ya….Stori zaidi.
Klabu ya Stellenbos inayoshirki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini ndio inatajwa kutaka saini ya kiungo huyo mkabaji wa KMC.
Baada ya Yanga kushindwa kumnasa kiungo hatari wa….Stori zaidi.
IO Patrick Aussems tena kama wengi walivyoelekea kuamini mara baada ya taarifa kuibuka kwenye mitandao kuwa mabingwa wa Yanga wako kwenye hatua za mwisho kumuajiri kocha huyo wa zamani wa Simba.
Baada ya tetesi ya muda mrefu ya Yanga….Stori zaidi.
Baada ya kuanza vizuri kwenye kikosi cha Nkana….Stori zaidi.
Tetesi hizi zimekuwa kubwa baada ya leo KRG Genk kumsajili mshambuliaji mpya raia wa Nigeria ambaye inasemekana ndiyo atakayeziba pengo lake.
Nafasi ya Usemaji wa moja kati klabu kubwa zaidi nchini Tanzania huenda ikapata sura mpya.
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.
Simba inaendelea kujiimarisha kwaajli ya Ligi ya Mabingwa msimu pamoja na Ligi kuu. Huenda ikaleta sura mpya nane kutoka nje.