Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Simba hatimae imefuta uteja mbele ya Yanga baada ya kushindwa kupata ushindi kwa miaka mitatu mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu
Kwa ushindi huo sasa Simba wamepunguza tofauti ya alama dhidi ya vinara Yanga na sasa zimebaki alama tano pekee.
Katika hatua nyingine pia Cedrik Kaze amesema timu yake ina wachezaji bora na wakubwa na ndio maana wao ni bora. Kaze amezungumza kwamba wachezaji wakubwa ndio huamua mechi kubwa na kuipa timu makombe.
Kocha huyo Mbrazil amesema kwa upande wake kandanda ni sanaa na burudani hivyo anapenda kuwaburudisha mashabiki kiwanjani akiwa na wachezaji wake bora.
Katika hatua nyingine timu hiyo ya Manispaa imeamu kumkabidhi timu hiyo kocha wa zamani na mchezaji wa zamani wa Simba Sc ili aweze kuinusuru timu isishuke daraja.
Yanga wao ni wazi wataingia katika mchezo huo wakiwa kifua mbele kwani hawana presha yoyote kutokana na historia nzuri mbele ya Mnyama waliyonayo hivi karibuni.
Kamwe pia amesema kwa sasa hivi wao wanakwenda kuingia katika mchezo huo bila kuifikiria Simba kwani wana wachezaji wakubwa ambao wanajua nini wafanye hivyo mchezo huo ni kama maandalizi ya mchezo wao wa robo fainali.
Kuelekea mchezo huo kumekua na sintofahamu ya hali ya afya ya wachezaji wake watatu ambao wamekosekana katika michezo ya hivi karibuni kutokana na majeruhi.
Tutadondoka na kushindwa kuchukua ubingwa lakini sio kufungwa na kutangaziwa ubingwa mbele yetu. Narudia tena hatupo tayari kuwa ngazi ya Yanga kwenye kutagazia ubingwa,