Vini Junior: Laliga ni Wabaguzi wa Rangi
La Liga ina tatizo. Kwangu mimi Vinicius ndiye mchezaji muhimu zaidi duniani. Vipindi hivi vya ubaguzi wa rangi lazima visimamishe mechi
La Liga ina tatizo. Kwangu mimi Vinicius ndiye mchezaji muhimu zaidi duniani. Vipindi hivi vya ubaguzi wa rangi lazima visimamishe mechi
JKT Queens ambao wamechukua ubingwa bila kupoteza mchezo hata mmoja sasa watahamishia nguvu zao katika michuano ya kanda ya Cecafa ili kupata mwakilishi ambae atakwenda kuiwakilisha kanda hii katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Endapo watanyakua ubingwa huo maana yake watakua wamewalipa kaka zao wa JKT Tanzania ambao wametwaa ubingwa wa Ligi ya Champioship na kurudi Ligi Kuu.
Nitoe rai kwa mashabiki wote wa KMC na wakazi wa Kinondoni kwamba bado tuna nafasi yakwenda kupambana mpaka tone la mwisho, ni kipindi ambacho tunahitaji kutumika zaidi ili msimu unaokuja tuweze kuwepo
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Wananchi walistahili ubingwa huo na kutetea taji lao walilolichukua msimu uliomalizika kutokana na kiwango kizuri walichoanza nacho msimu huu licha ya kupoteza rekodi yao yakucheza bila kufungwa
Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.
Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.
Stephane Aziz Ki amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Katika misimu sita iliyopita ikiwa pamoja na mwaka huu, klabu ya Simba imejivunia zaidi ya alama 457.