Kocha Simba: Kipindi cha pili wachezaji walipumzika.
Kocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Kocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Azam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,
Chama anatarajia kukosa michezo karibia yote ya msimu huu.
Tayari Kagera Sugar wamejinasibu kuendeleza palepale walipoishia katika mchezo wa mwisho baina yao
Ni kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote
Unadhani kuna mpango wa pamoja toka kwa benchi la ufundi na wachezaji labda wakiwemo na viongozi wa kumwandaa na kumtengenezea Mayele.
Ni kwa mara ya kwanza Yanga wanacheza michezo mitatu mfululizo bila ushindi
“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
John Bocco alifunga goli lake la kwanza katika mchezo dhidi ya Ruvu na kwenda kuungana na yale 7
wamesheheni wachezaji wakubwa na wenye majina ambao wamepita vilabu vikubwa nchini kama Simba, Yanga, Azam, Mbeya city na KMC, lakini pia ina nyota wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali.