Simba yaishindilia Mtibwa, Ndemla ashangaza!
kuutumbukiza wavuni.
Katika hali ya kushangaza kiungo wa Simba anaeitumikia Mtibwa Sugar kwa mkopo alitolewa nje ya uwanja katika kipindi cha pili.
kuutumbukiza wavuni.
Katika hali ya kushangaza kiungo wa Simba anaeitumikia Mtibwa Sugar kwa mkopo alitolewa nje ya uwanja katika kipindi cha pili.
Nakujulisha kurejea dimbani kwa kinara wetu wa magoli Vitalis Mayanga ambaye alikuwa nje ya uwanja tangu April 10
Kutokana na umuhimu wa michezo hii iliyobaki katika kusaka alama tatu, uongozi umeona ni vyema kuhamia Dar.
Ajib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Gaucho mshindi wa Ballon’dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Mgunda mpaka sasa ameiongoza Coastal Union katika michezo 10 ya Ligi.
Baada ya msimu ujao United atakuwa anatimiza miaka 10 tangu kutwaa ubingwa wake wa mwisho wakiwa na mstaafu Sir Alex Ferguson.
Msimu wa mwaka 2011 Ac Milan alichukua ubingwa kutoka kwa mahasimu wao Inter Milan sawa
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.