Mzimu wa Santiago Bernabeu Yeste unavyowatafuna wapinzani wa Real Madrid
Kama umepata kuusikia uwanja maarufu Santiago Bernabeu “machinjioni” hukujua kwanini unaitwa hivyo basi nikupe sababu
Kama umepata kuusikia uwanja maarufu Santiago Bernabeu “machinjioni” hukujua kwanini unaitwa hivyo basi nikupe sababu
Moto wa Mayele na Phiri upo juu katika kufumania nyavu. Tigana anawatazama wawili hawa mmojawao kuibuka kinara wa magoli ligi kuu NBC.
Kuna swali limekuwa likiulizwa sana kwangu iwe DM au kwa njia yeyote ile Kuhusiana na mazingira Ya mchezaji kushangilia goli kwa kuvua jezi wakati alikuwa na kadi ya njano
Hizi ni mechi zote za ligi kuu wiki hii, matokeo na ratiba. Tupe utabiri wako hapa.
Uchambuzi huu mfupi umetolewa katika ukurasa wa wapendasoka facebook. Unatazama ubora wa namna ya chezaji wa klabu ya Arsenal na udhaifu wake.
Ligi Kuu imesimama sasa baada ya mzunguko wa pili kukamilika, tazama ripoti ya wachezaji katika maeneo manne muhimu.
Kwa vyovyote vile kama Nabi ataamua kwenda na mfumo wa 4:2:3:1 huenda kuna mabadiliko ya upangaji timu yakamuathiri Feisal Salum
Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa….Stori zaidi.
ni sugu na jasiri sana hana uwoga hata kidogo na ni mtu wa kujitoa mhanga na ni mpambanaji haswa.
Ligi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.