KMC yaanda vita na Coastal Union.

Aidha katika michezo hiyo ya ligi kuu ya NBC, KMC FC inajiweka vema ili kuanza vizuri katika michezo mitatu ya nyumbani kwa kuhakikisha kwamba inavuna alama zote muhimu na hivyo kuendelea kujiweka sawia katika msimamo wa Ligi.

KMC hali tete, majeruhi kibao

Katika hatua nyingine KMC FC imerejea Jijini Dar es salaam alfajiri ya leo ikitokea mkoani Singida na kwamba kesho itaanza kufanya maandalizi kuelekea katika mchezo unaokuja dhidi ya Tanzania Prisons

Stori zaidi