Yanga yamtimua kocha wake
Mpaka sasa Yanga Princess inashika nafasi ya nne ikiwa na alama 22 katika michezo 12 waliyoshuka dimbani
Mpaka sasa Yanga Princess inashika nafasi ya nne ikiwa na alama 22 katika michezo 12 waliyoshuka dimbani
Mchezo huo wa watani wa jadi unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na ushindani uliopo baina yao na matokeo ya sare katika raundi ya kwanza.
Simba Queeens wanakwenda kukutana na Yanga Princess wakiwa kileleni na alama 26 sawa na Fountain Gate lakini wao wakiwazidi magoli. Yanga Princess wao wapo nafasi ya nne wakiwa na alama zao 21.
Achana na ubabe huo wa vigogo wa nchi katika msimamo wa Ligi, upande wa pili kwenye takwimu za mchezaji mmoja mmoja wachezaji wakigeni wameonekana kufanya vizuri na kuwakimbiza wazawa.
Walinzi wengine wa pembeni walioitwa katika kikosi cha Stars Kibwana Shomary [Yanga], Datius Peter [Kagera Sugar] na Yahya Mbegu wa Ihefu wote hawapo katika orodha hiyo.
Katika hatrick zote sita ni Jean Baleke ndio ameweka rekodi tofuati katika ufungaji wake mpaka sasa.
Licha ya Geita Gold kutangulia kufunga lakini Yanga walitulia na kurudi kwa kasi kipindi cha pili, walirudisha bao hilo na kuongeza mengine na kupata ushindi mnono.
Goli la tatu Baleke alilifunga katika dakika ya 34 kwa kupata pasi ya kichwa kutoka kwa Shomary Kapombe baada ya kuunganisha mpira wa juu uliopigwa na Sadio Kanoute “Putin”.
Huu ni mchezo pekee wa Yanga katika Ligi kwa mwezi Machi kwani baada ya mchezo huu watakwenda katika majukumu ya Kimataifa
Kwa kufunga mabao hayo matatu “hatrick” anaungana na John Bocco, Fiston Mayele na Ibrahim Mukoko msimu huu ambao nao wamefunga hatrick na kufanya zifike tano msimu huu.