Rais Yanga Aandika Waraka Mzito Baada Yakutwaa Ubingwa
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Wananchi walistahili ubingwa huo na kutetea taji lao walilolichukua msimu uliomalizika kutokana na kiwango kizuri walichoanza nacho msimu huu licha ya kupoteza rekodi yao yakucheza bila kufungwa
Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.
Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.
Stephane Aziz Ki amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Katika misimu sita iliyopita ikiwa pamoja na mwaka huu, klabu ya Simba imejivunia zaidi ya alama 457.
Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Simba hatimae imefuta uteja mbele ya Yanga baada ya kushindwa kupata ushindi kwa miaka mitatu mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu
Kwa ushindi huo sasa Simba wamepunguza tofauti ya alama dhidi ya vinara Yanga na sasa zimebaki alama tano pekee.
Katika hatua nyingine pia Cedrik Kaze amesema timu yake ina wachezaji bora na wakubwa na ndio maana wao ni bora. Kaze amezungumza kwamba wachezaji wakubwa ndio huamua mechi kubwa na kuipa timu makombe.